Kuwa na mafuta mengi usoni +chunusi

Kuwa na mafuta mengi usoni +chunusi

Vadrosha

Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
11
Reaction score
3
Jamani nisaidieni(boy) na tatizo la uso kuwa na mafuta mengi unaopelekea kuwa na chunus zisizo isha je nitumie mafuta gani ama njia gani ili yaishe au kumaliza chunusi mana nimetumia mafuta mengi bila mafanikio[emoji70]
 
I am talking from my own experience, ukishaosha uso na maji na sabuni jioni ukaushe na usipake kitu chochote, lala hivyo. Hata ukiacha kupaka mafuta asubuhi kama una oil skin baada yajigenerate yenyewe, lakini inapobidi tafuta oil free moisturizer kwenye maduka ya vipodozi au pharmacy.
 
Chunusi zitaisha zenyewe Ila kama una mafuta mengi usipake kabisa.
 
Jamani nisaidieni(boy) na tatizo la uso kuwa na mafuta mengi unaopelekea kuwa na chunus zisizo isha je nitumie mafuta gani ama njia gani ili yaishe au kumaliza chunusi mana nimetumia mafuta mengi bila mafanikio[emoji70]
Hi, ninayo mazuri sana yatakusaidia, check me on 0673216816
 
Back
Top Bottom