I am talking from my own experience, ukishaosha uso na maji na sabuni jioni ukaushe na usipake kitu chochote, lala hivyo. Hata ukiacha kupaka mafuta asubuhi kama una oil skin baada yajigenerate yenyewe, lakini inapobidi tafuta oil free moisturizer kwenye maduka ya vipodozi au pharmacy.