Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Umemjibu harakaMagonjwa ya ngono hayo, akamwone daktari..!
Sasa mpaka mtu unaona unaumwa badala ya kukimbilia hospital una delay na mitandao ya kijamii nduki kwa doctor..!Umemjibu haraka
Sasa mpaka mtu unaona unaumwa badala ya kukimbilia hospital una delay na mitandao ya kijamii nduki kwa doctor..!
Isije kua alichoropoa kijusi mana vifaa sio salama kabisa unaeza epuka swala moja ila ukajizolea maradhi mengi kuleNathamini ushauri wako, labda sikujieleza vizuri :ni kwamba hilo tatizo amekutwa nalo mdogo wangu wa kike ambaye naishi naye baada ya kupimwa kwa ultrasound, kilichotokea hana raha kabisa na sifahamu daktari amemueleza nini hadi anakosa raha kiasi hiki. Mimi nimedokezwa tu na mama watoto baada ya kumuuliza amekuwa anasumbuliwa na nini baada ya kwenda hospital