Rafki yangu ni mwanamke mwenye umri wa 21. Tangu mwaka wa tatu huuu huwa ana hisi maumivu sehemu za siri akiwa na feeeling ya kumkumbuka boy wake wa Tanzania. Amestahamili ameshindwa, aliona aibu kuelezea lakini matatizo yanazidi? Sasa afanye nini ili ayo maumivu yapoteee au akamuone doctor. Nyege zikimjia huwa anapata maumivu akimaliza? ushauri wadau mii sina la kumwambia zaidi ya kumuona doctor.