Haya mambo ya kutoka na mtu mwenye mtoto yalinikuta, baby mother akiniona ananiambia uko nae lakini ujue nikimtaka ninapiga vidole viwili tu anakuja. Sasa ile weekend umeamua kupumzika na mpenzi, baby mother anapiga simu, anaanza mtoto anatemperature, of course mbele ya mtoto inabidi jamaa atoke aende, akiwa njiani anadrive bado hajafika baby mother anatext 'I told you, if I want him back is just a matter of snapping my two fingers, can you see yourself where you stand now, we are going to hospital as a family'. Mwisho wa siku nikamwambia jamaa basi, sikuwa tayari na vita.