JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Kumekuwa na tabia ya ajabu sijui ilianzishwa na nani ya vilabu kuajiri wasemaji ambao hawahusiki na mchezo uwanjani.
Vilabu vya wenzetu waliondelea huwezi kukuta mtu ambaye hausiki na mechi uwanjani akiongelea swala la club zaidi ya kocha na kapteni wa club au mchezaji ndo watu ambao huwa wanahojiwa na kupewa airtime na television na sponsors.
Ajabu huku kwetu unakuta mtu ambaye hata hausiki kwa lolote na mchezo uwanjani ati ndiyo msemaji wa club "nyoo nakuambia kesho nawafunga tatu au mniuwe" , wewe kama nani unaongea vitu havikuhusu? Hizo tambo wangeongea kina mayele au chama wewe ni nani unatoa ahadi ambazo huusiki nazo.
Tanzania tuna tatizo la kuwafanya watu wajinga wawe maarufu bila sababu.