Ulishawahi kuoa askari mkuu?
Tafuta askari polisi mkuu kisha utupe mrejesho.
Uoe kabisa ndio uje na hayo maelezo halafu kichwa kinasema askari polisi unachanganya na mwanajeshiMi bado young mkuu.
Sema nmebahatika kuingia kwenye relationship za aina mbalimbali.
Nilikuwa na mchuchu mwanajeshi na nilikuwa namuendesha kama gari bovu
Nimemhusisha Mwanajeshi coz wote wapo sekta moja ya Ulinzi na usalama. Ni sawa na kusema Daktari na Nesi lazima wanafanana tabia zao na code of conduct zao. Tofauti ipo katika utendajiUoe kabisa ndio uje na hayo maelezo halafu kichwa kinasema askari polisi unachanganya na mwanajeshi
Hujaelewa kabisa kuhusu hilo mkuu polisi na mwanajeshi kiuhalisia ni tofauti mno tens sanaNimemhusisha Mwanajeshi coz wote wapo sekta moja ya Ulinzi na usalama. Ni sawa na kusema Daktari na Nesi lazima wanafanana tabia zao na code of conduct zao. Tofauti ipo katika utendaji
Tofauti ipo lakini sio sana.Hujaelewa kabisa kuhusu hilo mkuu polisi na mwanajeshi kiuhalisia ni tofauti mno tens sana
Ila uelewe polis huwa wana kawaida ya kiherehere hasa kana namna alivyopata huo upolisi ni shidaTofauti ipo lakini sio sana.
Nmekuambia ni sawa na Daktari na Nesi.
Ningemhusisha Mwalimu au Enjinia ndio ungesema tofauti mno.
Kuna mafunzo wanashare, mbinu n.k.
Turudi kwenye Mada.
Mwanamke ni mwanamke hata awe Rais sembuse Polisi.
Sema inategemea na nature ya mwanaume. Kama mwanaume ni dhaifu ndio matokeo yake huwa haya.
Ni sawa na wale wanaosema mwanamke msomo au mwanasheria anasumbua kumbe ni Mtazamo mtu aliyejiwekea
Hahaaaa!!Ila uelewe polis huwa wana kawaida ya kiherehere hasa kana namna alivyopata huo upolisi ni shida
Somo pana sana hili mkuu kikubwa lkn pia tabia yake au malezi yanaweza changiaHahaaaa!!
Kanuni ni moja tuu.
Kumfanya mwanamke akupende na kuteka hisia zake.
Kama hujateka hisia zake na moyo wake amini Amin nakuambia hata mtoto wa Sekondari atakusumbua.
Naelewa unachozungumzia mkuu sema ninachojaribu kueleza ni namna ya kuuteka moyo wa mtoto wa kike. Baada ya kuuteka hawezi kukusumbua.
Unaweza kuvaa hata sare zao. Unaweza ukamwambia akupe hata siri za polisi. Unaweza ukachukua hata silaha yake.
Usihangaike na mwanamke hutamuweza na atakusumbua tuu. Bali hangaika kuuteka moyo wake. Jaribu kutafuta kipi moyo wake unakipenda na si kipi mdomo wake na macho yake yanasema au yanataka.
Kujua moyo wa mwanamke unataka nini ni zaidi ya kuchukua Phd. Ni kazi ngumu sema ukiiweza basi dunia yote ni yako
Mm mwanamke police au rafiki yeyote police sitak hata kumsikia ni wanafk wakubwa asigundue unadili fek au kosa flan jinai unalo basi ataligeuza fursa ya kujipatia pesa kiaina yake kwako kila anapokuwa na shda, akiona kachuna vya kutosha, then anakuuza kwa wenzake kwa kuvujisha siri, wanaendelea kukulamba pesa baadae unakamatwa bila kujua wamekujuaje, they are very stupid friend! Kaa now mbali