Kuwa na mwanamke askari ni shida

Kabisa na kwa hili inabidi alshabab wapate ajira ya kuteka
 
Ananinyimaje unyumba mke wangu?
 
Huyu ni mojawapo wa madaktari nguli na ma phylosophy wachache tulionao hapa Tz



My take
Tuwalinde na kuwadhamini
 
Ukichelewa kurudi nyumbani ni shida,ukiomba unyumba unapewa kwa manyanyaso. Ukikutwa unaongea na mwanamke mwingine hata kama ni mambo ya kawaida unaweza kulala Lock up.Kila kitu unaelezwa kwa ukali kama vile yeye ndio kidume..
Hahahaha...
Kwani umefungwa nyororo mkuu?
Piga chini chap😁
 
Ila uelewe polis huwa wana kawaida ya kiherehere hasa kana namna alivyopata huo upolisi ni shida
Ukishaona mtu anajisifia kuwa ametoka na wanawake wengi sana ujue huyo ni CHAPUTA anapita nao bafuni
 
Hizi tabia za wanawake wengi wenye ajira
Walimu
Wauguzi
Makarani
Wanasheria nk
 

Ubishi unaotokana na kutokuwa na uzoefu. Wape fursa wenye uzoefu nao, u ajifanya mjuaji hata kuoa bado?
 
Hivi unadhania utaishi nao km malaika weee!!......siku ukimkorofisha ndo utajua mke mjeda siyo kabisaaa! atakutia vitasaaaaaa vya kipolisi hutaamini!!...na hutashitaki popote!!

wala hutoroki!! ukiwaza tu kutoroka amesha kujua! .....unachowaza! yaani usijidanganye eti utamtoroka wakti una siri za jeshi! kwanza weye ni sehemu ya siri hizo za jamhuri kila uendako unachunguzwa na watu km 10 hivi!

umeshaona polisi au mjeda kaenda nje kusoma km Raia?? sasa wewe ndo jamuhuri ukiingia huko kuoa au kuolewa ni umeingia! mkikorofishana ni chagua moja muelewane uishi nae au ukatunzwe kambini ya siri!

ukioa mjeda/polisi ni umeoa cheo na siri za nchi yooote huchomokimo!..kubali tu upigweeee chumbani siri zisitoke nje! na km ukijifanya mjanja sana mnahamishiwa kuishi kambini huko km Lugalo paleee! Mp kil saa ana patrol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…