Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
...akina Mobetounaweza malizia apo pacome mmoja ni bora kuliko timu nzima ya ???
Hivi ni lini ulishindikanaga!!Kwani nadate maslayquens?
Wanawake wenye brains zao wapo kibao🤣🤣🤣
Uliniharibu wewe..Hivi ni lini ulishindikanaga!!
Shindwaaa! Nimekukuta ushanyongorota kabisa.Uliniharibu wewe..
Hahahaha dah!Shindwaaa! Nimekukuta ushanyongorota kabisa.
fanya mambo yakoHabarini za jioni jamani nimewakumbuka wanajukwaa!! kama kichwa kinavyojieleza ushauri uzingatiwe kwa maendeleo ya taifa
NB; Nimeona nisipite bure kwani nimewakumbuka familia