Leo nimekwenda kumtembelea rafiki yangu office kwakwe muda mcheche polis wakaingia kwenye hiyo office na kumkamata yule rafiki yangu na polis wakataka kunichukua na mimi hapo ndio nikawauliza mimi na tatizo gani eti huyu mtu ni hatari sana tuna mtafuta nikawambia sasa mimi na kosa gani eti utakwenda kujua kituoni nikawajibu na jua haki zangu siwezi kwenda popote mpaka unambie kosa langu na munioneshe) yangu mimi au sina haki ya kutembea kwenye nchi yangu?moja akawambia muwache huyo dada hana kosa lolote moja akajibu makosa yapo kibao kituoni nikamjibu wewe hata unipe mimi makosa 1000 kwa elimu yako ndogo nitatoka njee nawewe utanilipa kwa kunipotezea muda wangu kusikia hivyo ndio wakaniwacha mimi nakumchukua yule rafiki yangu