SoC03 Kuwa na ufahamu mtambuka juu ya uzalendo

SoC03 Kuwa na ufahamu mtambuka juu ya uzalendo

Stories of Change - 2023 Competition

Eng CA Christopher

New Member
Joined
May 8, 2023
Posts
4
Reaction score
2
Vijana wengi wakitanzania hasa wasomi wamekua vibarakaa kutokana na kwamba wengi wao wapo kimaslahi zaidi.

Hivyo basi wamejikuta wanakosa uzalendo na nchi yao, kila kinachofanyika ambacho sio sawa wamekua wanatetea kutokana na kwamba wamejali maslahi yao binafsi zaidi kuliko nchi yao. Nakusahau kuwa wanategemewa.

WAFANYE NINI
kutumia usomi wao kukemea na kukataa mambo yassiyofaa husuusani rushwa na mikataba ya kilaghai
 
Upvote 0
Back
Top Bottom