Handsome boy 1
Senior Member
- Jun 2, 2021
- 105
- 142
Kama ilivyo Mahusiano kufa pia Mahusiano hubadilika uliyemuamini juzi leo haaminiki tena mpka unashangaa lakini ni muhimu tu kujua kuwa Mahusiano yanabadilika wapo watu wapo kwenye ndoa lakini nje ya ndoa wana watoto yaani kama kaubalozi kadogo kapo nje ya ndoa na watoto anasomesha kabisa na wapo nje ya ndoa hii ni imekuwa ni kawaida sana siku za leo.
Nikirudi katika uzi wangu mimi kama kijana nakumbuka enzi zile naanza kujielewa na kujua nini maana ya mapenzi nilishawahi kusema sitakaa nile dem mwingine kama nikimpata mwanamke nnaye mpenda ntatulia naye tu na sitamsaliti hata siku moja kauli ile mpka leo siamini kama ni mimi nlisema vile kwani toka nipate dem na kuanza kutulia nae tu ndipo wengine walipoanza kuwa karibu na mimi wazuri watoto wakali.
Haikuwa shida aliyezidi kuniganda nlimpa alichokuwa anataka shida huja pale unapompa anachotaka na yeye kunogewa basi toka pale dhana ya mchepuko ikaingia kwangu niliona ajabu kweli pale wamama watu wazima walipoanza kunitongoza nilishangaa sana na mimi nsingekuwa na msimamo nngeshatembea na wanawake wasiohesabika mana kila nkisafiri kwenda mkoani kwenye basi natoka na namba nnapofanya kazi sehemu natoka na namba mtaani natoka na namba na wote hao wananitaka najiuliza sasa ile kauli ya kusema sitakuwa na dem zaidi ya mmoja imepotelea wapi.
Nabaki tu kusema kuwa na dem zaidi ya mmoja ni jambo lisilotarajiwa huja lenyewe tu kikubwa ni kuwa makini na magonjwa tu ila ukioa achana nao tulia na mkeo.