Kuwa na wanawke.au.wanaume wengi ni upendo au tamaa?

mapanga3

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
665
Reaction score
633
Ktk jamii nyingi kumekuwa na malalamiko mengi juu wapenzi wengi kutokuwa waaminifu kwa wenzi wao juu mahusiana ya kimapenzi, hii inatokea kwa wapenzi, wachumba na hata wanandoa. Wengi wamekuwa wakilalamikia mienendo ya wenzi wao kutokuwa waaminifu ktk suala zima la mahusiano. Kuna baadhi yao wanaamini kuwa na mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya mwanamke au mwaume mmoja kama fahari au ujanja au ndio kuwa wakisasa zaidi. Swali langu kwenu ni hili, Je kuwa na uhusiano wa kimapenzi na zaidi ya mwanamke au mwanaume mmoja kinachosabisha ni upendo au tamaa?
 
hata mtoto wa darasa la pili anaweza kukujibu hilo swali lako
 
Ukiwa nao wengi raha sana ukinyimwa kwa huyu unaenda kwa huyu, ukigombana na yule unaenda kwa yule nunakuwa huna shida.
 

Hakuna upendo hapo, hiyo ni tamaa ambayo kimsingi huleta tabia ya UZINZI!
 
kaa kitako uwaze thread ya kulet humu
hata std 7 anajua au wew std ngapi?
huku ni kupoteza wakati
 
Upendo. . .
Wengine wanao mwingi mpaka unawalemea.

mh,yawezakuwa ni kwel. kuna mkaka 1 anasemaga kuwa anampenda mkewe mpk upendo umezidi bas anatafta mdada ampunguzie upendo.
 
Upendo utazidi wanaume hadi unatuelemea ndoo inabidi tupunguze kwa wengine. Si unakumbuka kwene biblia Suleiman aliyeomba busara kwa mungu wakati mimi ningeomba hela, madaraka na umaarufu alishia kugawa upendo kwa wadada 700
 
Mungu alimuumba Adam na Eva...nakushauri usiangalie wengine wanafanya nini, angalia wewe unafanya nini... acha kusoma habari za Diamond NA wema Sepetu katika magazeti ya udaku ukadhani wanayofanya ndo walivyo kaka zetu watanashati dada zetu warembo na wanaojiheshimu.
 
Ndio ukisasa, unaprove (to urself mostly) how modern, desirable n potent u r!
 
Hivi sio dhambi kumpenda mtu mmoja? Mungu si kaamuru tupende wote?
 
Ni"umalaya"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…