Kuwa na wanawke.au.wanaume wengi ni upendo au tamaa?

Kama huamini hebu jaribu tu ku-flirt (usiende next step) na wanawake 2 tu uone inavyochosha akili, roho na mwili! Ukimkuta mwenza wako anakucheat, mpongeze na umpe pole wala usikasirike!
Mhhhh! kumbe eeh!...haya bana LOL! 🙂🙂
 
Ni aje Best umeshavuta majani yako nini!? LOL! Mwenzio ukamkuta anakucheat utampongeza kweli!? Hongera zako kwa kucheat!!! hahahahahah lol! labda unaweza kufanya hivyo kama msuba umeshaenea kichwani.

Kama huamini hebu jaribu tu ku-flirt (usiende next step) na wanawake 2 tu uone inavyochosha akili, roho na mwili! Ukimkuta mwenza wako anakucheat, mpongeze na umpe pole wala usikasirike!
 
Last edited by a moderator:
ni kuondoa monotony.... kila siku huyo huyo tu!
 
ni kuwa na tamaa ya fisi...hamna upendo hapo...infact mtu wa hivyo ataungua soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…