Kimalaunga
Member
- May 31, 2016
- 79
- 32
Ili kuifanya inchi iweze kutawalika kwa urahisi, kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu, nibora ingepitishwa sheria kuwa elimu ya juu kabisa anayotakiwa kuwa nayo mtz ni ya Awali. Kwani sasa watu ni wajuwaji mno mpaka serikali inapata wakati mugumu kuwaongoza.