Kuwa Pamoja Nanyi JF

devj

Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
8
Reaction score
1
Jamani wapendwa wana JF..Natumaini mnaendelea vizuri Kiafya na kimajukumu!

Mie naitwa Devj,nimependa michango,mawazo na misaada yenu kwa wahitaji na hivyo naomba kuwa mwanajamii mwenzenu katika JF jamani.
 
Karibu sana kijana.
 
Karibu JF devj.
 
Last edited by a moderator:
Asanteni jamani wapendwa kwa kunikaribisha,Katavi,Yegoo,Globu.Ulimakafu,Baba V,Tedo,Watu8,Be blessed kwani mmenifanya nijisikia huru na mmoja wenu mlivyonikaribisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…