Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Beberu US Anauma na kupuliza Beberu Russia Anang'ata kama mamba akiuma anapiga na lock..Kuna watu hakuna Jema la Russia duniani kama ilivyo watu wengine wanaoamini Marekani haina Jema hata Moja hufanya duniani.
Sasa kwa watanzania wenzangu, huwa mnatumia kigezo gani kuamua kuwa upande wa Marekani au wa Russia. Huwa mnazingatia mambo gani hasa?
Ni kama tu kuwa shabiki wa Simba au Yanga. Hakuna kigezo.Kuna watu hakuna Jema la Russia duniani kama ilivyo watu wengine wanaoamini Marekani haina Jema hata Moja hufanya duniani.
Sasa kwa watanzania wenzangu, huwa mnatumia kigezo gani kuamua kuwa upande wa Marekani au wa Russia. Huwa mnazingatia mambo gani hasa?
Kwa 90% Kuwa Pro USKuna watu hakuna Jema la Russia duniani kama ilivyo watu wengine wanaoamini Marekani haina Jema hata Moja hufanya duniani.
Sasa kwa watanzania wenzangu, huwa mnatumia kigezo gani kuamua kuwa upande wa Marekani au wa Russia. Huwa mnazingatia mambo gani hasa?
Mashabiki wa Urusi wana vinasaba na mashabiki wa kubwa la magaidi duniani yaani Jamhuri ya Kiislamu ya IranBeberu US Anauma na kupuliza Beberu Russia Anang'ata kama mamba akiuma anapiga na lock..
Jambo jingine ni hili!;
Russia alimuuzia Ndege vita iddi Amini!
Sisi alituuzia ant aircraft missile!
Tulipo ishiwa mabomu ya heat seeking missile's!; mrussi alikataa kutuuzia mabomu Hadi Kwa Hard cash au Mikataba migumu Kwa dhamana ya Mali Asili!
Huku Ndege vita za iddi Amini zinatamba Hadi Mwanza Visiwa vya Saa nane!
Lengo lake lilikuwa vita yetu na Uganda iwe Endelevu Ili auze silaha zake!
Kukosa Hekima ya J.K.Nyerere Kuomba msaada wa hayo mabomu Msumbiji na Algeria!; Ile vita ingekuwa ni simulizi
Ukiona Mtu anaishabikia Russia ujue miaka hiyo alikuwa yupo kiunoni au mtoto au Ashki majunun...
nyingine!😇😭
Hiyo Ilinikera Hadi Sasa kuichukia Russia....
Mfano?Kwa upande wangu nimekuwa nikakuta USA anafanya ubabe Ulio wa wazi wazi Kwa mataifa Ambayo USA Anataka Rasilimali zao anavamia hizo nchi na kufanya unyama uliopitiliza ana waacha watu wataifa Hilo wakiwa vilema wengine wakiwa mayatima na Hiyo nchi inabaki kuwa masikini wa kutupwa Huku Miji ya nchi husika ikibaki kuwa magofu so Hiyo ni sababu moja wapo ilyojifanya niwachukie USA
Kwa uzoefu wangu mdogo nadhani mambo hizi dini tumelewa na majahazi inachangia pakubwa mtu kushabikia upande upi
Wakristo wengi sana wapo upande wa USA na washirika wake NATO pamoja na Israel na WISLAM wengi sana wapo against na USA kwa madhila anayoyasababisha mashariki ya kati kitovu cha uisla, hivyo basi waislam wanalazimika kushabikia hasimu wake mkubwa ambaye ni Russia na washirika wake Iran korea na China
USA amekua na mvurugano sana na mashariki ya kati ambapo kuna Waislam wengi na hivyo waislam kuchukulia kwamba USA inauhasana na uislam huku ikiwatetea na kuwapandelea WaisraelNi kwe
Kwa hiyo Waislam wa Nzega wanawachukia pia waislam wa Marekani? Halafu wanawapenda Hezbollah na Hamas na Urusi. HahahaKwa uzoefu wangu mdogo nadhani mambo hizi dini tumelewa na majahazi inachangia pakubwa mtu kushabikia upande upi
Wakristo wengi sana wapo upande wa USA na washirika wake NATO pamoja na Israel na WISLAM wengi sana wapo against na USA kwa madhila anayoyasababisha mashariki ya kati kitovu cha uisla, hivyo basi waislam wanalazimika kushabikia hasimu wake mkubwa ambaye ni Russia na washirika wake Iran korea na China
USA amekua na mvurugano sana na mashariki ya kati ambapo kuna Waislam wengi na hivyo waislam kuchukulia kwamba USA inauhasana na uislam huku ikiwatetea na kuwapandelea Waisrael
Kwa hiyo bora kuwa Pro Russia?Kwa 90% Kuwa Pro US
Lazima Uwe na uwezo mdogo Kichwani yaani Unameza Propaganda Kuliko Uhalisia
Pili unakuwa na Akili za Kitumwa Kuamin US ndio kila kitu kwenye hii Dunia
Yaani unaamini kila wakifanyacho US nisahihi na Hawana Makosa yeyote.
Kuwa Pro US Huna Uwezo wa Kujiuliza Kile kilicho Tangazwa na Vyombo vyote vya West hususan BBC , VoA, Fox NBC, CNN nk yaani Kila Habari itakayo tolewa na Hawa Unaimeza Mazima Mazima huna muda Wa Kujiuliza .
Kigezo ni uwe na uwezo wa kuisaliti nchi yako kwa maslahi ya hao wakubwa.Kuna watu hakuna Jema la Russia duniani kama ilivyo watu wengine wanaoamini Marekani haina Jema hata Moja hufanya duniani.
Sasa kwa watanzania wenzangu, huwa mnatumia kigezo gani kuamua kuwa upande wa Marekani au wa Russia. Huwa mnazingatia mambo gani hasa?