Kuwa Pro Russia au Pro US, kigezo huwa nini?

Israel isn't the topic on the menu.
USA vs RUSSIA.
 
Sina upro wowote ila naikubali sana US, wanafanya chochote ili nchi yao iendelee kua juu, watayahadaa manyumbu, watayapa silaha yachapane ila tu wao waendelee kua juu.

Hamna nchi rafiki kwetu sio Russia, US wala China, wote ni majambazi tu.
 
Mimi naomba kuanza na wewe, kwanini unatumia swastika kwenye avatar yako?
 
Mimi nipo NAM- non aligned movement
 
Ukoloni
 
Kuwa Pro Russia au Pro US, kigezo huwa nini?
Porojo zitakuwa nyingi humu ila sababu kubwa ni moja tu, DiNI.

Ni vigumu kukuta kobaz anakubaliana na USA hata kwa jambo la heri. Na wanashabikia Russia kwa kuwa tu ni hasimu mkubwa wa US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…