Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Huyu mwamba alikuwa ni marine general,moja ya sifa zake ni kuwa mtu tafu na imara sana na kutokana na tabia zake walikuwa wanamuita shetani mzee butley
Lakini hakujali na wala hakuw na tabia ya kuwa na chuki au kuweka chuki moyoni mwake,wataalamu walimlaani,na karibia jamii nzima walimlaani.
Lakini alipo ulizwa imekuwaje umeweza kuyashinda yote haya,alisema " pale ninapopita njiani na kusikia watu wananilaani basi wala sigeuzi shingo kumuangalia anayenilaani"
Huyo ndio general smedley butley the old hell devel,natamani sote tungekuwa kama general,hakuwa na mda wa kuhifadhi chuki moyoni mwake,kwake yeye chuki haikuwa na nafasi katika maisha yake,kwasababu haina faida zaidi ya kukuumiza kihisia,na kibaya zaidi anaye athirika na chuki ni wewe mwenyewe na si yule unaye mchukia.
Njia pekee ya kuishinda chuki ni kuyadharau yale yote ambayo ni sababu ya wewe kuwa na chuki,jua kwamba yaliyo pita yamepita kwani huwezi kuyabadilisha tena
Kuna haja gani ya kuwa na chuki kwa mambo ambayo yamepita huko zamani,jitahidi kuyasahau na kusonga mbele.
Njia nyingine ya kuepuka chuki ni kufuata kauli mbiu ya french philosopha anaitwa montaigne alisema "mwanadamu haumizwi na matukio yaliyo tokea bali anaumizwa zaidi na maoni yake kutokana na matukio hayo" kitu ambacho ni kweli mathalani umejikwaa na kuanguka, kuanguka peke yake sio tatizo hata kidogo tatizo ni maono yako na mtazamo wako kwa kuanguka kwako,utaanza kuwaza dah sijui watu watanionaje,dah nimetia aibu mbele za watu,dah kwa nini sikuwa makini,,so hayo na mengine mengi ndio yanayo kuumiza lkn si kitendo cha kuanguka.
Malizia uzi wangu kwa kuishi na philosophy ya raisi Dwight Eisenhower, alisema hivi "usipoteze hata dakika moja kumfikiria mtu ambaye humpendi"
Ni hayo tu!