Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

Asante sana kwa huu mchanganuo. Mimi (kwa kutumia formula yako) nimeanza na Vifaranga vya kuku chotara 100. Wana zaidi ya mwezi sasa...
Ushauri wako ndio umenipa HAMASA ya kuanza ufugaji wa kuku. ASANTE SANA.
 
Fursa
 
Hii michanganuo kwa kuisoma hivi tu inaonekana ni simple ila ukienda field sasa.
ni kweli kweli kwa mm ninavyowajua kuku laki 3 ni ndogo sanaaa but wanalipa sanaaa!!! Ila sasa wanachangamoto nying sanaa!! Hasa kwenye magonjwa
 
Jamani wadau ninao kuku wa kienyeji pure breed!nauza elf 18!wapo mia mawasiliano:0621315340 wapo bagamoyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…