Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

Aya mahesabu mepesi sana kwenye karatasi shida kuyatoa kwenye karatasi uyaweke matendoni
 
Safii mkuu, vp mradi mpaka sasa umefikisha kuku wangap
mimi nimeshinda !! kutoka kuku 35 mwaka jana leo nina kuku 118 na vifaranga 80 nasonga mbele!! usiruhusu kukatishwa tamaa pamoja na changamoto za magonjwa nimevuka na sasa naendelea kuongeza mabanda Lengo langu litatimia ,,,, niko na positive mind[emoji2][emoji2][emoji2] negative nimetupilia mbali mambo ni motoooo hashindwi mtu hapa! changamoto zipo nyingi sana zikabili na nyanyuka songa mbele malengo yangu ni kufikisha kuku 5000 soon natoboa!!
 
Wew Ni muongo Wala sio mfugaji usikatishe watu tamaa
 
Kusoma hii michanganuo ni rahisi sana , kimbembe hua kinakuja pale unapoingia kwenye uhalisia aisee
 
Guys, Tanzania watu kukata tamaa na kukatisha wengine tamaa ni jambo easy sanaaa, inshu ni hii, THUBUTU, na wengi wanataka matokeo ya leo kesho katoboa huo ni uongo...ni ndoto yangu kwa hii layering poultry farm and am telling you guys, when i accomplish writing my business planning, i am going to employ you🙏🙏🙏in my poultry farm
 
Jamani mimi niko morogoro mjini, naomba kama kunamtu anaeneo lililo karibu na mjini ambayo naweza kufanya shughuli za ufugaji wa kuku anikodishie.
 
Wadau, ni kampuni zipi kubwa ambazo naweza agiza vifaranga wa kuku chotara (F1) ?
 

Soko lake likoje na kuna tija?
 
Jamani mimi niko morogoro mjini, naomba kama kunamtu anaeneo lililo karibu na mjini ambayo naweza kufanya shughuli za ufugaji wa kuku anikodishie.
Mkuu badala ya kutafuta sehemu ya kukodisha pambana ununue kiwanja ujenge mabanda ya kuku ...utakuja kunishukuru baadaye ...maisha ya sahv yanahitaji hesabu sana
 
Labda alikuwa anamaanisha vifaranga, sijui kama kimehesabu hii kitu iko sahihi. Kiufupi huyu mleta maada hajawai fuga kaikota hizi tango poli mtandaoni
Chaguo ni lako,ndo mana hata malaya wameolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…