Tetesi: kuwa umri wa kustaafu umerudishwa nyuma badala ya miaka 60 ni 55 kuna ukweli wowote?

Tetesi: kuwa umri wa kustaafu umerudishwa nyuma badala ya miaka 60 ni 55 kuna ukweli wowote?

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
864
Reaction score
212
Habarini wana jamvi
Juu ya mada tajwa je hii kitu inawezekana?km ni kweli sheria iliyoidhiniisha umriwa kustaafu ni ipi na imeshafanyiwa marekebisho?
 
Dhana kwamba hilo litasadia ku create ajira ni wishful thinking. Kwanza serikalini Kuna over employment!
 
Mi naona wafanye baada ya miska 10 tu ukiwa katika ajira uachie ngazi
Ingekuwa bora sana kama wangekuwa wanafanya kama mfuko wa NSSF unaokusanya mafao ya private Sectors.Unaweza acha kazi na ukachukua mpunga wako no ukaendelea na mishe zingine. Kwa goverment ukiacha kazi hujafikisha 15yrs huchukui hata centmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ficha ujinga wako.

Sehemu pekee unri wa kustaafu unaelekea ni juu zaidi kadri unri wa kuishi wa watanznaia unavyoongezea.
Kuhudumia na kulipa mafao wazee waliostaafu ni mzigo mkubwa zaidi ya vijana wasio na ajira rasmi.

Wazee wana magonjwa expensive kutibu,matinabu yao ni bure na hawalipi tena kodi baada ya kustaafu.

Vijana hawaumwi umwi hovyo,sio mzigo kwa spcial welfare na wana variety ya kazi wanazoweza kufanya.

umri wa kustaafu hautashuka kamwe. Utaongezeka tu.

Kabla ya kuandika kuhusu kitu, fanya tafiti japo kidogo kujua factors zinazosababisha pension funds kuchagua umri flani wa kustaafu.

FYI, life expectancy of a country plays a huge role. No pension funds wants to pay pensioners for 30+ years
 
Kutokana na huduma bora za afya na advance technology binadamu wa sasa anaweza kufikisha miaka 90 bila wasi wasi. Wengi wanzjikuta wakiwa na afya njema na uwezo wa kutumia ujuzi waliosomea katika umri wa miaka 70
 
Back
Top Bottom