malamsha shao
JF-Expert Member
- Sep 23, 2012
- 215
- 79
Ninataka kuwa wakala wa coka je kianzio unatakiwa uwe na kreti ngapi? Na yale makontena wanayotumia yenye nembo ya kampuni wanapewa bure au wananunua?na vipi bei ya kununulia maana ya kuuzia ni 11600.naombeni msaada wenu wana jf natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wakuu.