Kuwa wakala wa rangi za majumbani

Kuwa wakala wa rangi za majumbani

Zeru

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
186
Reaction score
64
Habarin wadau,samahani nilikuwa naomba kujua jinsi yakuwa wakala wa rangi za majumbani,je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo,na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani,nipo mkoan dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
 
Mwanzisha mada tupatie mrejesho pia kama ulipata majibu ..asante
Mkuu sikupata,ila nilifanikiw kuanziaha hardware ndogo ndio mpk sasa nadunda nayo,ila kwa upande wa rangi nachukuwaga kwa catton kampuni ya goldstar
 
Nashauri nenda kiwandani kaongee na manager masoko then uje utupe mrejesho na sisi wa mikoani tujifunze kuanza iyo business
 
Back
Top Bottom