Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Leo ninajambo hili,tabia ya kuwaacha watendaji wa mitaa au kata hata polisi wa kata kwenye eneo moja la kazi miaka mingi inashusha ufanisi katika utendaji.
Mfano unakuta mtendaji hayupo ofisini yupo kijiwe anapiga stori,kashfa ya wake au waume za watu.pia ktk hali hiyo hata kuchukuwa hatua stahiki kama serikali anakuwa hawezi na kuendekeza rushwa.