Kuwachwa kwa walimu kwenye zoezi la sensa je kutathiri matokeo ya mitiani?

Kuwachwa kwa walimu kwenye zoezi la sensa je kutathiri matokeo ya mitiani?

MWAKOLO

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
304
Reaction score
45
Walimu walio wengi walitegemea kushiriki ktk zoezi la sensa lakini kutokana na serekali kuwacha na kuchukuwa watu wa kada nyingind kwa kinachodaiwa ni kushiriki ktk mgomo kwa maoni yangu kama kutaathima maendeleo ya wanafunzi kwani wengi wamekata tamaa na kufundisha
 
Vihela vya sensa visiwachanganye waalimu. Wanapaswa kuendeleza mapambano kwa mshikamano. Vinginevyo wakikubali kugawanywa au kutishwa na serikali watendelea kuonewa milele. Kwanza wanapaswa kuwa wanagomea kazi kama hizo za sensa na michango ya kulazimishwa inayokatwa kutoka kwenye mishahara yao bila hiyari yao.
 
Back
Top Bottom