Vihela vya sensa visiwachanganye waalimu. Wanapaswa kuendeleza mapambano kwa mshikamano. Vinginevyo wakikubali kugawanywa au kutishwa na serikali watendelea kuonewa milele. Kwanza wanapaswa kuwa wanagomea kazi kama hizo za sensa na michango ya kulazimishwa inayokatwa kutoka kwenye mishahara yao bila hiyari yao.