Kuwafanyia watoto DNA test

Lakini kama sio kukosa uaminifu, kwanini akina mama hawaipendi DNA test?

MTM kutokuipenda DNA haimaanishi mwanamke sio muaminifu,

mwanamke muanimifu lazima atakasirika akiambiwa watoto wapimwe dna, kwa sababu hivyo ni kama kumuambia 'nahisi ume cheat na kuzaa nje ya ndoa, sikuamini wala siamini 100% huyu mtoto ni wangu' kitu ambacho ni tusi kubwa kwa mke ambaye hajawahi kucheat

mke asiye mwanaminifu akiambiwa suala la dna hata furahia vile vile for obvious reasons,
 

Triplets,

umweiweka vizuri sana na mimi ndio nilikuwa nataka hoja kwa hoja namna hii!!! Ukweli ni kwamba wanaume wengi tunaiangalia DNA kama solution ya matatizo ya partenity lakini hatuangalii undani na implications za hii test, ila kubishia tu bila hoja nzito ndio kunakosababisha tuendelee kuipigia deba

So, DNA is not pleasant kwa mwanamke no matter what!
 
Mimi ni tomaso na sihesabu mahindi kwa kuona yake... navuna halafu nafanya hesabu!!!
...kwii! kwii!! kwii kwiiii!!!!!!!!!!!! Mkuu lazima ulishaishi nyanda za juu kusini wewe!!! huo msamiati huku pwani haufahamiki..
 
...kwii! kwii!! kwii kwiiii!!!!!!!!!!!! Mkuu lazima ulishaishi nyanda za juu kusini wewe!!! huo msamiati huku pwani haufahamiki..

Hahahaaa

ni kweli kabisa... maeneo ya ifunda, wanging'ombe, kibena, makambako, ismani, gangilonga, kleruu, mkwawa, ilula nk... koote huko nimecheza sana na migage!!!
 
Hahahaaa

ni kweli kabisa... maeneo ya ifunda, wanging'ombe, kibena, makambako, ismani, gangilonga, kleruu, mkwawa, ilula nk... koote huko nimecheza sana na migage!!!
...Good..unanikumbusha mambo ya migage, vinyengo, mafyurisi etc...Tupo pamoja maze!!
 

Thanks DC,

Hii ni taarifa muhimu sana kwa wasomaji, unajua nilisoma lile gazeti [nadhani ni majira au mwananchi] walipoweka zile figures za only 60% ya waliopimwa ndio walikuwa baba halisi... hii kitu ilinisumbua sana kwasababu huu ni uandishi uchwara

walitakiwa waseme denominator na pia waseme kwamba zile cases ni biased na zilikuwa tayari filed!!!

DNA ni more than partenity tests..

Na hiyo counseling sijui kama inafanyika ila lazima nitaingia deep kwenye hii topic halafu ntawapa yajayo
 
Hii kitu inafanywaga kwa siri bila mama kujua, na ukikuta wote sio wako taratibu unaondoka unamwachia mama nyumba.

mie kwa upande wangu ni vema aniambie ukweli tu kuliko kimya kimya tukubakiane tuifanye pamoja....
 
Mkuu, DNA test ni ID test kama fingerprints etc

Tusiweke dhana ya partenity pekee jamani, DNA hutumika hata kusaidia kuzuia baadhi ya magonjwa

Mh, kweli elimu zaidi juu ya faida za DNA inahitajika


yeah Mkuu, ukiangalia mantiki ya bandiko langu ndo hiyo kwamba ni zaidi ya partenity, mwanzoni mjadala ulijikita zaidi kuwa DNA ni ya kuprove kuwa mtoto ni wa nani hasa kwa wanandoa.

Na mimi kwa kuona hatari hiyo ndo nikaweza angalizo, ambalo limeboreshwa kwa maelezo ya kisheria na kitaalam zaidi ya Dark City.

Unaweza kuona ni kwa nini ni vigumu kisheria kuibukia wanakopima as an individual na kudai kipimo cha DNA ya mtoto wako!
 
waliosema KITANDA HAKIZAI HARAMU walifikiria mambo mengi sana!
 

Ni kweli Kaizer (mzee wa utalii wa ndaniπŸ˜€)

suala la DNA ni gumu kidogo na ndio maana public awareness inatakiwa watu waelewe zaidi, maana siku hizi vijiweni utaskia "aisee kacheki DNA" lakini the whole conext remains very unclear to most

Thats why there is JF, ili tuelimishane
 
ha ha ha ha ha ha ha!
nguli hii thread utairusha lini?
 
waliosema KITANDA HAKIZAI HARAMU walifikiria mambo mengi sana!


Wazee wetu walikuwa na akili sana kuhusu mambo ya maisha ingawa hawakusoma shule kama sisi. Naona sisi tumesoma sana lakini akili ya mambo ya kawaida inatupa taabu. Nadhani tunahitaji kutafuta nafasi ya kuchota busara za wazee wachache waliobaki ambao lakini hawajabobea kwenye ufisadi!!!πŸ™„
 

Mkuu uko right, once again!!!

Lakini mimi nadhani hakuna kitu kizuri kama technology advancements, kumbuka faida za sayansi hasa kwenye afya za watu!!!

Ni maendeleo hayohayo yametuletea vitu kama DNA, i still believe hiki kipimo ni bora sana!!!
 

Hahahahhaha! Usinichekeshe...you are too much! Duh!
 
Hahahahhaha! Usinichekeshe...you are too much! Duh!

mKUU, mambo ya DNA ni utata sana, lakini hii intokana na sisi kutokuwa na uelewa wa kipimo na mahitaji ya kabla ya kipimo.... pamoja na hayo mimi nitakusanya samples za vitoto vyangu na kwenda kucheki
 
mKUU, mambo ya DNA ni utata sana, lakini hii intokana na sisi kutokuwa na uelewa wa kipimo na mahitaji ya kabla ya kipimo.... pamoja na hayo mimi nitakusanya samples za vitoto vyangu na kwenda kucheki

Sawa baba, ila nakushauri utafakari kwanza ukikuta kuna mtoto sio wako nini itakuwa hitma ya
uhusiano wako na mkeo
uhusiano wako na mtoto/watoto ambao sio wako
utafanya nini kukabiliana na effect za kisaikolojia zitakazowapata watoto baada ya kujua mtu wanaemfahamu kama baba toka walipozaliwa sio baba yao
 

Angalizo kwenye bold
 
Ndio maana sisi siku hizi tunang'ofoka sana kwa sababu tumekosa busara za wazee wetu. Tunafuatilia kila kitu up to the last point halafu ukipata ukweli wa jambo badala ya kupata relief eti ndio unakufa. Kweli elimu ya darasani saa nyingine ni kimeo sana kwenye maisha ya kawaida hasa mahusiano na mapenzi.
Asante sana DC kwa kukumbuka hili
 

Mkuu, naomba nikupe changamoto mazee
hivi ukingangania huko nyuma tutafika?
kumbuka DNA is beyond paternity and it has more important values especially on treatment, prevention and forensic
i would rather live in the worl of true people hata kama ni kwa DNA kuliko kutetea uongo simply because wa kale walisema

we contradict ourselves alot, yaani mtu anabelieve in thruths but he/she doesnt want the truth

hakuna kitu kibaya kama living a lie, and DNA to some extent reduce that problem

HIvi DNA ni haramu?
 


Kumwambia mwanamke tumpime mtoto DNA ni sawa na kumuuliza kama mimba aliyo nayo ni yakwako kweli.

Mi nashauri kma hutaki kununiwa sisitiza kupima 2 iwapo...
1. Unajua kwa uhakika kua mambo yako sio(huna uwezo)
2. Kama ulikua mbali na mamsapu wako ndani ya miezi mitatu mimba ilipotungwa.(Kwa kutumia ultrasound unaweza kujua lini mimba ilitungwa...)
3. Kama during that time hukua na mahusiano mazuri na mamsapu wako cz kuna uwezekano alipata comfort somewhere else.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…