Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo mbele yenu wana JF nilitaka/nikiomba maelezo ya kina kwani wasomi wa mtaani/vijiweni/street university kuwa eti kumaliza kufika kileleni kabla ya mwenzio ni tatizo la kisaikolojia.
Nihabarisheni kuhusu ukweli wa hizi tetesi.
Naomba kuwasilisha.
Yes ni tatizo la kisaikolojia zaidi. Ipeleke jukwaa la doctors utapata maelezo zaidi.Hapa ni habari mchanganyiko ndg.yangu kama hujickii kunishauri usikatishe wengine kutokunishauri.Hata hivyo nashukuru kwa maoni yako.