Kuwahi kumaliza ni tatizo la kasaikolojia

MARO BM

Senior Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
135
Reaction score
7
Nipo mbele yenu wana JF nilitaka/nikiomba maelezo ya kina kwani wasomi wa mtaani/vijiweni/street university kuwa eti kumaliza kufika kileleni kabla ya mwenzio ni tatizo la kisaikolojia.
Nihabarisheni kuhusu ukweli wa hizi tetesi.

Naomba kuwasilisha.
 
Ndugu yangu hapa ni mchanganyiko wa mambo mengi tu Saikolojia ni mojawapo. Jambo la msingi nakushauri wakati wowote utakapokuwa unatamani ama mwenzio ametamani kufanya na wewe tendo la ndoa.

Maandalizi ni ndio kila kitu na hata kama itatokea ukamaliza mapema kabla ya mwenzio uvumilivu kwa wewe uliyemaliza ni mihimu sana kwa kuendeleza maneno ya mahaba na kupapasa sehemu zinazomsisimua zaidi mwenzio ili afike.

Hii ni mbinu moja ukiwa makini nayo utafanikisha. Kwa leo nasa hiyo.
 
Ingia jamiiforum Doctor uliza hilo tatizo lako wataalam watakujibu.
 
Hapa ni habari mchanganyiko ndg.yangu kama hujickii kunishauri usikatishe wengine kutokunishauri.Hata hivyo nashukuru kwa maoni yako.
 
Hapa ni habari mchanganyiko ndg.yangu kama hujickii kunishauri usikatishe wengine kutokunishauri.Hata hivyo nashukuru kwa maoni yako.
Yes ni tatizo la kisaikolojia zaidi. Ipeleke jukwaa la doctors utapata maelezo zaidi.
 
Huko ni kukosa umakini wakati unawaza! Nadhani unafikiri kwa "MA------",pengine ww ndo umeoa/kufanya ngono bila kupitia Angaza.
 
Nipo mbele yenu wana JF nilitaka/nikiomba maelezo ya kina kwani wasomi wa mtaani/vijiweni/street university kuwa eti kumaliza kufika kileleni kabla ya mwenzio ni tatizo la kisaikolojia.
Nihabarisheni kuhusu ukweli wa hizi tetesi.

Naomba kuwasilisha.

Wakati mwingine ni kutumia akili zako mfano,mara unapoingiza fimbo ya Musa(uume) kwenye uke utulie kwa muda huku ukiendelea kupapasa mkeo,baada ya hapo unaanza hiyo miondoko kama roho yako ipendavyo, ukiona kuna dalili za kutaka kumwaga tulia tena kwa muda, au unatoa kiasi fimbo ya Musa kiasi inabaki ndani, unatulia ukiendelea kumpa raha kwa namna nyingine ukiona maji ya uzima yameahirisha safari unaanza tena miondoko, na kuhakikishia lazima afike mwisho na kuimba haleluya.

kama siyo mkeo ikimbie zinaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…