mashini Member Joined May 4, 2012 Posts 72 Reaction score 10 Aug 16, 2012 #1 habari za asubuhi ndg zangu. Naombeni munielekeze ni namna gani naweza kufanya ninapofanya sex ili niweze kumaliza mapema au nisimalize mapema. naombeni michango yenu. natanguliza shukrani zangu kwenu.
habari za asubuhi ndg zangu. Naombeni munielekeze ni namna gani naweza kufanya ninapofanya sex ili niweze kumaliza mapema au nisimalize mapema. naombeni michango yenu. natanguliza shukrani zangu kwenu.
S Sangari Senior Member Joined Oct 31, 2011 Posts 172 Reaction score 59 Aug 16, 2012 #2 Kwani wewe huwa unachelewa au unawahi? Hujachanganua hapo.