Mwenzenu sielewi mzee WARIOBA amekuwaje maana mie huwa namuona ni mtu safi tena anapiga vita rushwa na uozo wote wa chama tawala?!😱
Mwenzenu sielewi mzee WARIOBA amekuwaje maana mie huwa namuona ni mtu safi tena anapiga vita rushwa na uozo wote wa chama tawala?!😱
Utachanganyikiwa muda sio mrefu.
Na sio vyema kuwatoa watu kwenye kitu wanachokiangalia kwa makini, hii thread ni ya Karamagi, Rostam na Warioba, GT na MMM wanafikaje hapa?
mliopo kisutu mtuhabarishe wenzenu, maana matumbo yamesinyaa hata hamu ya chakula imetoka hadi tujue ni makosa gani wameshitakiwa nayo, na je dhamana kiasi gani na kama wameshindwa walau wakalale keko hata kwa wiki moja kama kina yona na mramba
kwanini usiwe unataja jina lake lote sio hilo moja tu