tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
Ingawa si maarufu sana hapa nchini kwetu, rakini kwa mataifa ya ghuba hata asia, ni pesa yenye nguvu , kulinganisha hata euro, pound, dutch mark , hata dollar, hii ni pesa ya nchini kuwait inajulikana kama dinar, kuwait ni taifa la kiarabu na kiislam ambalo 90% ya uchumi wake utegemea uchimbaji wa mafuta ,
leo hii dinar 1 ni sawa na tsh 5660/= katika benk kuu hapa tanzania, fursa yetu kuchangamkia biashara kati yetu na taifa hili lisilojulikana sana hapa nchini ila lenye uchumi mkubwa sana,