tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
View attachment 240786 Ingawa si maarufu sana hapa nchini kwetu, rakini kwa mataifa ya ghuba hata asia, ni pesa yenye nguvu , kulinganisha hata euro, pound, dutch mark , hata dollar, hii ni pesa ya nchini kuwait inajulikana kama dinar, kuwait ni taifa la kiarabu na kiislam ambalo 90% ya uchumi wake utegemea uchimbaji wa mafuta , View attachment 240788 leo hii dinar 1 ni sawa na tsh 5660/= katika benk kuu hapa tanzania, fursa yetu kuchangamkia biashara kati yetu na taifa hili lisilojulikana sana hapa nchini ila lenye uchumi mkubwa sana,
wachumi waje hapa wanisaidie. uchumi wa Japan uko juu sana lakin hela Yao haina nguvu sana. ukinisaidia mimi utakuwa umemsaidia na huyu ndugu yangu.

Hata sisi tukianza kuchimba mafuta tunaweza kurudi enzi zile za pauni
Japan wanakomaa kushusha thamani ya Yen we we unasifu hao wasiojua uchumi?
wachumi waje hapa wanisaidie. uchumi wa Japan uko juu sana lakin hela Yao haina nguvu sana. ukinisaidia mimi utakuwa umemsaidia na huyu ndugu yangu.
Siyo rahisi kabisa.
Jitahidi kuelewa maswala ya uchumi.
Kwanza, hatuna mafuta ya kuchimba.
Tanzania kuna gesi (LNG) nyingi na hata hivyo, serikali imetangaza mapato ya baadae ya kama $3 Bilioni kwa mwaka watapomaliza ujenzi baina ya 2017 na 2022.
Pia, bei huenda ikipanda au kushuka katika miaka 25- 30 ya Uzalishaji mpaka kisima kukauka.
Kupanda kwa thamani ya fedha ya nchi inahitaji uwe mzalishaji wa vitu mbalimbali vinavyotumiwa duniani, siyo tu gesi.
Kufika katika Maendeleo ya nchi kama Malaysia au Afrika Kusini, tunahitaji uzalishaji wa $300 bilioni. Sasa tunazalisha kama $40 bilioni. Tutafika tukijipanga vizuri, lakini safari ni ndefu.
Kumbuka, Japan hana gesi wala mafuta. Ni uzalishaji tu wa vitu kila kona ya dunia wanavitumia.
Japan wanakomaa kushusha thamani ya Yen we we unasifu hao wasiojua uchumi?
mkuu sijasoma post yako hata kidogo ila nahisi kama umeongea pumba flani ila sina uhakika sana... mtazamo
Kweli kwani hili hata mi nalishangaa sana
Japan wanakomaa kushusha thamani ya Yen we we unasifu hao wasiojua uchumi?
wachumi waje hapa wanisaidie. uchumi wa Japan uko juu sana lakin hela Yao haina nguvu sana. ukinisaidia mimi utakuwa umemsaidia na huyu ndugu yangu.
Nadhani umepata jibu tayari juu.
Kwa kuongezea, uchumi wa Japan ni mkubwa sana. Kuna factors nyingi za kuangalia uchumi unasaidiwa vipi na serikali ya Japan.
Kwa mfano, kodi ya mauzo ni ndogo kusaidia jamii na biashara. Marekani kutegemea na mkoa, unalipa kama 15%. Japan ni 8% tena wamepandisha juzi tu. Ilikuwa 5% tangu 1997, na kabla yake ilikuwa 3%.
Kama una watoto, hulipi hata senti tano ukipata mshahara chini ya $100,000 kwa mwaka au una mkopo wa nyumba benki.
Mkopo benki ina riba siyo zaidi ya 2.5% kwa mwaka na wanakupa miaka 25 kulipa. Unaweza kununua nyumba kwa malipo ya $600 kwa mwezi.
Shule ni bure za serikali. Unalipa chakula na uniform tu.
Mama wa nyumbani akifanya kazi part-time, halipi kodi kama ni chini ya $1000 kwa mwezi.
Ni lazima uangalia picha kwa ukubwa wa factors zote kujua jinsi gani uchumi unasaidiwa na serikali yao.
Inakomaa kushusha thamani ya yen ili bidhaa zake zinunuliwe kirahisi!maana strong yen will hurt the jananese economy!..yen ikipanda dhidi ya us$..gari lililokuwa linauzwa us$7000..litauzwa us$9000..wanunuzi wataenda kwingine kutafuta unafuu wa bei..hiyo ni kwa industrial goods zote!
Mkuu Nitakutafuta nina mpango wa kuja kutafuta hela Japan , kama kazi za ndani unakula USD 1,000 kwa mwezi huko kuna unafuu,kama unapata chini ya 100,000 usd kwa mwaka haukatwi kodi wakati huku ukianzia usd 350 kwa mwaka unakatwa kodi,vipi ninaweza nika-make fedha huko Tokyo kwa kupiga BOX?