mimi huyu huyu
Member
- Feb 8, 2015
- 88
- 34
Habari wanaJF
Kuna mambo yanayoendelea kwenye social media huwa yananishangaza sana. . Nayo ni haya mambo ya kuwasema vibaya sana hawa celebs. . Nakiri kuwa kwenye kosa ni muhimu kukosoa, na TUNAPOTAKIWA KUTOA MAONI pia sio vibaya tukisema kile tunachokifikiri. . .Kinachonishangaza mimi ni kuwa kuna watu yani wenyewe wapo kuponda tu, kusema vibaya, kuzushia uongo na mengineyo bila kujua kuwa hawa jamaa ni binaadamu kama ulivyo wewe na wanafeel everything we all feel, They feel lonely, sad, happy, horny, etc. . . Na unakuta mtu anawasema vibaya bila kujiangalia yeye. . .Wacha nitoe mifano
Unakuta mtu anamponda celeb wa kike eg. Lulu, Wema au Zari kuwa MBAYA, HANA LOLOTE, KASHAZEEKA, MIMACHO MIBAYA, etc lakini cha ajabu ukija kumuangalia yeye ni mbaya kiasi hata akivua nguo dushe halisimami
Mfano wa pili
Unakuta mtu anaongea kwa uhakika kabisa kuwa celeb flani ni malaya na anajiuza, ukimuuliza hivi ni wewe ulishawahi kumpa pesa ukamnaniliu hana jibu, atakwambia yule kashapitiwa na fulani na fulani, ukimuuliza umejuaje atakuletea gazeti la UDAKU, na unakuta huyo anayetoka povu kusema fulani malaya yeye kashapitiwa na ofisi nzima, au kwa mwaka kashapitiwa na watu zaidi ya kumi, na kazi aliyonayo kaipata baada ya kutoa papuchi
Mfano wa tatu
Unakuta mtu yule dogo atashuka kimuziki kwa kuendekeza mademu, unamwambia hebu nitajie list yake ya mademu, atakutajia mademu wasiozidi watano ndani ya miaka mitano, wakati huo huo yeye kashapitia mademu zaidi ya 20 katika kipindi hicho. . . Sijui kama uhusiano unaua kipaji hili ntawaachia wadau wa mziki
Mfano wa mwingine
Unakuta mtu kakomaa kwenye social media kumponda celeb flani kuwa ni maskini, kafulia, hana kitu. . Wakati yeye hiyo bundle kapata baada ya kugawa papuchi na kwao milo mitatu ni shiida
Unakuta mtu anasema celeb flani hajui kuvaa, mchafu tu, hana nguo nzuri sasa kutana naye umuone yeye alivyovaa utatamani ukimbie, na ndo haohao ukienda kwao unakuta wameanika vyupi madirishani
Unakuta celeb kaweka pic yake insta kwa mfano, mtu anakuja na kuanza kumtukana kuwa malaya, hajapendeza, hajui kuvaa, mshamba. . . Nenda katika page yake sasa uone picha zake, then ukimponda kwenye pic yake moja atakushushia matusi na akose raha siku nzima
Maoni yangu. .
Muda mwingine tuwapumzishe hawa jamaa aiisee
Naomba kuwasilisha