Kuwakosoa celebrities, nasi tujiweke kwenye mizani

Joined
Feb 8, 2015
Posts
88
Reaction score
34
Habari wanaJF
Kuna mambo yanayoendelea kwenye social media huwa yananishangaza sana. . Nayo ni haya mambo ya kuwasema vibaya sana hawa celebs. . Nakiri kuwa kwenye kosa ni muhimu kukosoa, na TUNAPOTAKIWA KUTOA MAONI pia sio vibaya tukisema kile tunachokifikiri. . .Kinachonishangaza mimi ni kuwa kuna watu yani wenyewe wapo kuponda tu, kusema vibaya, kuzushia uongo na mengineyo bila kujua kuwa hawa jamaa ni binaadamu kama ulivyo wewe na wanafeel everything we all feel, They feel lonely, sad, happy, horny, etc. . . Na unakuta mtu anawasema vibaya bila kujiangalia yeye. . .Wacha nitoe mifano

Unakuta mtu anamponda celeb wa kike eg. Lulu, Wema au Zari kuwa MBAYA, HANA LOLOTE, KASHAZEEKA, MIMACHO MIBAYA, etc lakini cha ajabu ukija kumuangalia yeye ni mbaya kiasi hata akivua nguo dushe halisimami

Mfano wa pili

Unakuta mtu anaongea kwa uhakika kabisa kuwa celeb flani ni malaya na anajiuza, ukimuuliza hivi ni wewe ulishawahi kumpa pesa ukamnaniliu hana jibu, atakwambia yule kashapitiwa na fulani na fulani, ukimuuliza umejuaje atakuletea gazeti la UDAKU, na unakuta huyo anayetoka povu kusema fulani malaya yeye kashapitiwa na ofisi nzima, au kwa mwaka kashapitiwa na watu zaidi ya kumi, na kazi aliyonayo kaipata baada ya kutoa papuchi

Mfano wa tatu
Unakuta mtu yule dogo atashuka kimuziki kwa kuendekeza mademu, unamwambia hebu nitajie list yake ya mademu, atakutajia mademu wasiozidi watano ndani ya miaka mitano, wakati huo huo yeye kashapitia mademu zaidi ya 20 katika kipindi hicho. . . Sijui kama uhusiano unaua kipaji hili ntawaachia wadau wa mziki

Mfano wa mwingine

Unakuta mtu kakomaa kwenye social media kumponda celeb flani kuwa ni maskini, kafulia, hana kitu. . Wakati yeye hiyo bundle kapata baada ya kugawa papuchi na kwao milo mitatu ni shiida

Unakuta mtu anasema celeb flani hajui kuvaa, mchafu tu, hana nguo nzuri sasa kutana naye umuone yeye alivyovaa utatamani ukimbie, na ndo haohao ukienda kwao unakuta wameanika vyupi madirishani

Unakuta celeb kaweka pic yake insta kwa mfano, mtu anakuja na kuanza kumtukana kuwa malaya, hajapendeza, hajui kuvaa, mshamba. . . Nenda katika page yake sasa uone picha zake, then ukimponda kwenye pic yake moja atakushushia matusi na akose raha siku nzima

Maoni yangu. .
Muda mwingine tuwapumzishe hawa jamaa aiisee

Naomba kuwasilisha
 
Kuna gharama ya kuwa celebrity. Kupondwa hakuepukiki wala kukosolewa, la muhimu jambo la kuambiwa changanya na la kwako.Spotlight na cost zake.Ni sawa huku mitaani tunavopondana, wakati mwingine ni busara kupuuza baadhi ya mambo na kutoyapa uzito sana utaumwa kichwa.
Mwisho namalizia kwenye mabaya wakosolewe kwenye uzuri wapewe sifa zao.
 
Yeah, dats tru. . . Mimi kinachonishangaza ni pale mtu kutumia nguvu nyingi kukosoa kitu ambacho huyo celeb ana nafuu ukilinganisha na huyo mkosoaji
 
Wengine ni wa kuhurumia tu.Kuna watu sura zimekunjamana ka tangawizi, shepu nalo kiazi mbatata kina unafuu......ila sasa kwa kupondea wenzao na kuwaita wabaya hawajambo!!! Kwani stara inauzwa sh. ngapi jamani??? Duh

Yani huwa nashangazwa sana aisee
 
Wengine ni wa kuhurumia tu.Kuna watu sura zimekunjamana ka tangawizi, shepu nalo kiazi mbatata kina unafuu......ila sasa kwa kupondea wenzao na kuwaita wabaya hawajambo!!! Kwani stara inauzwa sh. ngapi jamani??? Duh

Ha ha ha ha ha ha!
 
Sikubaliani na mtoa mada kwa sababu mbili.Kwanza si watu famous wote wanaongelewa vibaya.Pili ni wao wanafanya Maisha yao binafsi kuwa ya kitaifa.

Ivi leo umepata mpenzi mpya ni lazima watu wajue eti kwa sbbb ni mashabiki wako? kuna wanaojifanya wana ya juu wakati ni omba omba na wakopaji wazuri kwa nin watu wasikuponde?

status ya mtu famous inategemeana na
life style yake
 
Wengine ni wa kuhurumia tu.Kuna watu sura zimekunjamana ka tangawizi, shepu nalo kiazi mbatata kina unafuu......ila sasa kwa kupondea wenzao na kuwaita wabaya hawajambo!!! Kwani stara inauzwa sh. ngapi jamani??? Duh

Le mutuz alilela picha ya malkia wa insta. .. kah yule dada kafanana na wasira. .. kule insta kutwa kumtukana zari sura mbaya ..sijui kibibi. .. nyani haoni. ..
 
Le mutuz alilela picha ya malkia wa insta. .. kah yule dada kafanana na wasira. .. kule insta kutwa kumtukana zari sura mbaya ..sijui kibibi. .. nyani haoni. ..

Hahahaaaa hiyo siku nilicheka sana aisee japo wadau wake walidai kuwa sio yeye!
Binti sio mbaya in such ila sasa duh ukilinganisha na aliemtukana (Zari) yaani unabaki kucheka tu.
 
Ndio madhara ya uselebriti

Ila dah ukienda kwa profile ya wanaowatukana hao kina Lulu na wema, mwenyewe utaingia huruma...wengine wa ajabuuuuuuu

Mazingira ya ajabuuuuuuuu

Ila yote maisha
 
Wengine ni wa kuhurumia tu.Kuna watu sura zimekunjamana ka tangawizi, shepu nalo kiazi mbatata kina unafuu......ila sasa kwa kupondea wenzao na kuwaita wabaya hawajambo!!! Kwani stara inauzwa sh. ngapi jamani??? Duh

Kisa hawaonekani unakuta wabaya kama goti ila kusema binadamu wenzao gawajambo
 
Le mutuz alilela picha ya malkia wa insta. .. kah yule dada kafanana na wasira. .. kule insta kutwa kumtukana zari sura mbaya ..sijui kibibi. .. nyani haoni. ..

Ahahaha malkia wa insta katisha aseeh, wenzake akina dogie masta na wenzake wako vzur, wana sura na shepu za kueleweka, na wanaishi nje ya nchi, malkia alitisha kwa kweli
 
Wanajifanya wanaponda wakati wakisikia umbea wa celebrities mbio wanajazana kwenye uzi, na wao wangeacha kufuatilia habar za mastaa apo ata sisi tutakosa vya kuandika
 
Msanii ni kioo cha jamii, endapo atafanya kitu chochote kinyume basi jamii haitasita kukemea, unataka kusema habari zote zinazoripotiwa kuhusu mastaa ni uwongo? Wao wanatakiwa kujirekebisha kwanza na sio kuwatetea ujinga wao.
warumi
 
Kumbe 😂😂

Ebu nisaidie, nani kwenye huu uzi ni celebrity? Mtoa mada au? Siwaelewi? Wanatuaribia jukwaa letu pendwa, tukiweka umbea wao ndo wakwanza kuja, ngoja nishike majina ya watu then nikitoa ubuyu nione wanajileta kufuata umbea, nfyuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…