So wanaoandika kuuliza mapenzi humu mtaani kwao hakuna watu? Wanaouliza siasa hawana namba za wanasiasa? Wanaouliza mambo ya uislamu huwa hawaishi mtaa mmoja na mashekh??unaona mazingira ya shobo sio au una sababu kama huna jibu unachunaYaani uache kuuliza hapo unapowaona hao watu uje uulize huku
Umenijibu vyema sana hii mimi ndo huwa sababu yangu lakin tusubiri wajuzi zaidi maana kuna maneno wanaongea kama sala ndo maana nimeshindwa wahoji directThe only
Hapan hmna kitu cha ajabu.
Ni moja ya njia ianyoweza kufanya relaxation na kupambana na msongo
Pale ambapo mbongo amekimbia kutafuta malaya apunguze msongo mhindi yeye anakimbilia pale ku-relax akili yake ndio maana tunaona ajabu sisi waafrika.
Ndio maan mimi kwangu napambana na gardening, lakin mwingine atakuambia ni mambo ya kike, ila ikifika jioni anaenda kutmba demu kwa shiling 50k ili apunguze stress