christopher stuat Member Joined Feb 7, 2014 Posts 38 Reaction score 0 Mar 16, 2015 #1 Habari wana jamii forum naombeni msaada kuhusu kuwah au kuchelewa kumaliza wakati wa tendo kipi ni bora
Habari wana jamii forum naombeni msaada kuhusu kuwah au kuchelewa kumaliza wakati wa tendo kipi ni bora
Mnyampaa msingida Senior Member Joined Aug 5, 2013 Posts 180 Reaction score 54 Mar 19, 2015 #2 Kila kitu kwa wastani. Iwapo mwenzako ataridhika hata ukiwahi ni sawa. Ila ukawahi mwenzako bado yuko kwenye speed ndogo itakuwa ni sawa na hakuna. Jitahidi kuweka uwiano
Kila kitu kwa wastani. Iwapo mwenzako ataridhika hata ukiwahi ni sawa. Ila ukawahi mwenzako bado yuko kwenye speed ndogo itakuwa ni sawa na hakuna. Jitahidi kuweka uwiano