Tuko crew yawatu kama 75 tunaenda kuipanguvu Simba oyaa kitaumanaStellenbosch hawana mbambamba wanataka watu wajae uwanjani.
Kiingilio mchezo wao dhidi ya Simba ni Buku Nne Mia Tano ya pesa madafu.
Mchezo huo utapigwa katika dimba bora la kisasa la Moses Madiba jijini Durban.
Simba tujiandae kisaikolojia, kazi itakuwa ngumu japo tutapitaView attachment 3312807
Toa maelekezo tuko njianiTuko crew yawatu kama 75 tunaenda kuipanguvu Simba oyaa kitaumana