Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Hata wewe ulimfuata Lowassa ila leo unajifanya hukumfuata huku kwetu ChademaUchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?
MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Kasirika sasa wewe nenda Chadema!Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?
MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Magufuli ndio anaamua nani wa kugombea ccm , nyinyi wote ni vidampa tuUchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?
MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Ss tuliokitumikia chama muda mrefu hatupewi nafac CCM ila wakosoaji wa CCM waliokuwa upinzani ndo muhimu haiwezekaniUchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?
MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Ccm hakina wanachama milioni 8,hizo takwimu ukitaka kuzithibitisha washauri chama chako waruuhusu tume huru ya uchaguziKwa baadhi ya watu sisi wanaCCM tulifanya makosa, watu walikatwa kwa chuki na walikuwa na uwezo wa kushinda na walipoenda upinzani walishinda watu hao bila hiyana wanastahili kugombea tena.
Wakati wa kumpigania Magufuli uliahidiwa Nini kamanda? Kama hakukuahidi chochote kwa Nini uumie? Kwa kukukumbusha tu zaidi ya wanachama milion 8 walimpigania Magufuli, ulitaka atoe vyeo kwa hao wote?
Siasa za makundi sio nzuri na wewe inaonesha ni muumini wa siasa na unaumia sana kuona wengine wakinufaika huku wewe uliyekuwa umeahidiwa cheo na mtia Nia wa kundi lako kuachwa