G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Ndg Wanajamvi.
Siyo mara ya kwanza kusikia hii hoja pale ambapo mtu anakabiliwa na kesi fulani na kuambiwa kuwa mahakama haina uwezo kusikiliza hilo shitaka, kinachonikera zaidi ni kwa nini mtu asipelekwe moja kwa moja hadi sehemu husika hadi azungushwe, wengine wanapigwa kalenda hadi miezi minne ndo wanapelekwa panapohusika utafikiri hizo mahakama za kusikiliza hiyo kesi ziko nje ya nchi. Wanasheria tunaomba msaada wenu..