G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Inakera sana na mtu anaweza akasota huko miezi na miezi na anapelekwa huko huko, kufata nini kama haina uwezo huo?Hata mimi nashangaa huu upuuzi, kwani DPP aliyesema mtu ashitakiwe hajui kesi inaenda mahakama ipi?! Wanasheria tusaidieni.
Pamoja sanaKuna vitu watu wanashindwa kuelewa. Siyo kwamba DPP hajui kesi hiyo inaenda wapi ni anafahamu. Kuna baadhi ya makosa yanasikilizwa mahakama kuu. Ili ifike mahakama kuu lazima wafuate procedures kwanza kesi hizo zinafunguliwa mahakama ya chini yake. Mpaka pale upelelezi utakapo kamilika na mtu huyo amefanyiwa kitu kinaitwa "Commital", kesi hiyo ndipo itakapo hamishiwa mahakama kuu na kuanza kusikilizwa. Na ndio maana mtu atosemewa shtaka katika mahakama hiyo ya chini lakini ataambiwa asijibu chochote kwasababu mahakama hiyo haina mamlaka ya kuisikiliza. Na kama kosa hilo halidhaminiki mtu huyo atarudishwa rumande. Ikumbukwe kuwa office ya DDP haifanyi upelelezi siyo kazi yake hiyo ni kazi ya Office ya DCI.
DCI alitakiwa chini ya WOO.Inakuwaje unaendesha mashitaka alhali haupelelezi??Kuna vitu watu wanashindwa kuelewa. Siyo kwamba DPP hajui kesi hiyo inaenda wapi ni anafahamu. Kuna baadhi ya makosa yanasikilizwa mahakama kuu. Ili ifike mahakama kuu lazima wafuate procedures kwanza kesi hizo zinafunguliwa mahakama ya chini yake. Mpaka pale upelelezi utakapo kamilika na mtu huyo amefanyiwa kitu kinaitwa "Commital", kesi hiyo ndipo itakapo hamishiwa mahakama kuu na kuanza kusikilizwa. Na ndio maana mtu atosemewa shtaka katika mahakama hiyo ya chini lakini ataambiwa asijibu chochote kwasababu mahakama hiyo haina mamlaka ya kuisikiliza. Na kama kosa hilo halidhaminiki mtu huyo atarudishwa rumande. Ikumbukwe kuwa office ya DDP haifanyi upelelezi siyo kazi yake hiyo ni kazi ya Office ya DCI.
Jamani Petro E. Mselewa tunaomba msaada tutani tafadhali
Asante kwa shule nzuriKuna vitu watu wanashindwa kuelewa. Siyo kwamba DPP hajui kesi hiyo inaenda wapi ni anafahamu. Kuna baadhi ya makosa yanasikilizwa mahakama kuu. Ili ifike mahakama kuu lazima wafuate procedures kwanza kesi hizo zinafunguliwa mahakama ya chini yake. Mpaka pale upelelezi utakapo kamilika na mtu huyo amefanyiwa kitu kinaitwa "Commital", kesi hiyo ndipo itakapo hamishiwa mahakama kuu na kuanza kusikilizwa. Na ndio maana mtu atosemewa shtaka katika mahakama hiyo ya chini lakini ataambiwa asijibu chochote kwasababu mahakama hiyo haina mamlaka ya kuisikiliza. Na kama kosa hilo halidhaminiki mtu huyo atarudishwa rumande. Ikumbukwe kuwa office ya DDP haifanyi upelelezi siyo kazi yake hiyo ni kazi ya Office ya DCI.
Ahsante sana usinichoke kukutagi mara kwa maraMkuu CHIKIRA MTABARI jambo hilo la kumfikisha Mshtakiwa kwenye mahakama isiyo na uwezo wa kusikiliza mashtaka yake linaruhusiwa kisheria na kimahakama. Utaratibu huo, katika lugha ya kisheria, huitwa committal proceedings au preliminary inquiry. Hapo, Mshtakiwa hufikishwa kwenye mahakama isiyo na uwezo wa kumsikiliza kwa lengo la kuiandaa kesi kwa kuipeleka mahakama mahususi na yenye uwezo wa kusikiliza kwa ajili ya kusikilizwa na kuamuliwa.
Mfano, makosa ya mauwaji, uhujumu uchumi, ugaidi na utakatishaji fedha ni makosa ambayo husikilizwa na Mahakama Kuu tu kwa mara ya kwanza (kabla ya rufaa kwenda Mahakama ya Rufani). Hatahivyo, washtakiwa waweza kupelekwa na kusomewa makosa yao Mahakama ya Hakimu Mkazi-kama Kinondoni, Ilala na Kisutu kwa ajili ya committal proceedings. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 246 cha Sheria ya Mwenendo wa makosa ya Jinai, Sura Na.20 ya Sheria za Tanzania.
Lengo la committal proceedings ni kukamilisha upelelezi wa kesi husika; kuandaa ushahidi wa nyaraka na watu pamoja na mambo mengineyo ya kisheria. Yote yanapokamilika, jalada la kesi husika hupelekwa Mahakama yenye uwezo wa kusikiliza kesi husika kwa ajili ya kusikilizwa na kuamuliwa. Kimsingi, pamoja na kuruhusiwa kisheria, committal proceedings ina changamoto zake. Mojawapo ni kutumika muda mrefu katika kupeleleza na kufanya mengineyo niliyoyataja.
Inasemwa kuwa, wakati mwingine, committal proceedings hufanywa kuwa njia ya kuwatesa washtakiwa kwa kuwaleta mahakamani na kuwarejesha rumande. Ingawa mahabusu hafanyi kazi kama alivyo mfungwa, ni vyema kukawa na uharaka wa kukamilisha committal proceedings ili kutenda haki kwa pande zote za shauri. Sheria inapaswa kutazama hasa upande dhaifu-upande wa Mshtakiwa.
Kweli kabisa mkuuJamani Petro E. Mselewa tunaomba msaada tutani tafadhali
Pamoja sana Jembe, Ahsante kwa majibu yako..Mkuu CHIKIRA MTABARI jambo hilo la kumfikisha Mshtakiwa kwenye mahakama isiyo na uwezo wa kusikiliza mashtaka yake linaruhusiwa kisheria na kimahakama. Utaratibu huo, katika lugha ya kisheria, huitwa committal proceedings au preliminary inquiry. Hapo, Mshtakiwa hufikishwa kwenye mahakama isiyo na uwezo wa kumsikiliza kwa lengo la kuiandaa kesi kwa kuipeleka mahakama mahususi na yenye uwezo wa kusikiliza kwa ajili ya kusikilizwa na kuamuliwa.
Mfano, makosa ya mauwaji, uhujumu uchumi, ugaidi na utakatishaji fedha ni makosa ambayo husikilizwa na Mahakama Kuu tu kwa mara ya kwanza (kabla ya rufaa kwenda Mahakama ya Rufani). Hatahivyo, washtakiwa waweza kupelekwa na kusomewa makosa yao Mahakama ya Hakimu Mkazi-kama Kinondoni, Ilala na Kisutu kwa ajili ya committal proceedings. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 246 cha Sheria ya Mwenendo wa makosa ya Jinai, Sura Na.20 ya Sheria za Tanzania.
Lengo la committal proceedings ni kukamilisha upelelezi wa kesi husika; kuandaa ushahidi wa nyaraka na watu pamoja na mambo mengineyo ya kisheria. Yote yanapokamilika, jalada la kesi husika hupelekwa Mahakama yenye uwezo wa kusikiliza kesi husika kwa ajili ya kusikilizwa na kuamuliwa. Kimsingi, pamoja na kuruhusiwa kisheria, committal proceedings ina changamoto zake. Mojawapo ni kutumika muda mrefu katika kupeleleza na kufanya mengineyo niliyoyataja.
Inasemwa kuwa, wakati mwingine, committal proceedings hufanywa kuwa njia ya kuwatesa washtakiwa kwa kuwaleta mahakamani na kuwarejesha rumande. Ingawa mahabusu hafanyi kazi kama alivyo mfungwa, ni vyema kukawa na uharaka wa kukamilisha committal proceedings ili kutenda haki kwa pande zote za shauri. Sheria inapaswa kutazama hasa upande dhaifu-upande wa Mshtakiwa.
pmja na hayo tisaidie na swali la huyu dafa sooth pia.... Napenda kujua, committal proceedings au preliminary proceedings zina umuhimu gani? Kwanini zifanyike mahakama ya chini? Ina maana yale yanayofanyika kwa Hakimu Mkazi hayawezi kufanyika Mahakama Kuu? Kama lengo ni kupata ushahidi, ina maana kesi ikifika mahakama kuu haiwezekani kuleta ushahidi 'mpya'?Mkuu CHIKIRA MTABARI jambo hilo la kumfikisha Mshtakiwa kwenye mahakama isiyo na uwezo wa kusikiliza mashtaka yake linaruhusiwa kisheria na kimahakama. Utaratibu huo, katika lugha ya kisheria, huitwa committal proceedings au preliminary inquiry. Hapo, Mshtakiwa hufikishwa kwenye mahakama isiyo na uwezo wa kumsikiliza kwa lengo la kuiandaa kesi kwa kuipeleka mahakama mahususi na yenye uwezo wa kusikiliza kwa ajili ya kusikilizwa na kuamuliwa.