fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Hili ni jambo lenye thawabu kwa Mungu,tujitahidi kuwasaidia wanaotaka kuoana kwa kila hali.Fanya hivi:
1.Tengeneza orodha ya wanawake na wanaume ambao hawajaoa au kuolewa
2.Kila unaposikia kuna mwanamke au mwanaume anayetaka kuoa au kuolewa,jitahidi kuwakutanisha ili waongee
3.Saidia kila mtu bila kujali malipo au kutukanwa.Ukitaka kuungana na mie tufanye hii kazi njoo inbox