Fredrick Jr
Member
- Jul 21, 2012
- 8
- 0
Kwanza naomba niwasalimu wote wana jamii forum pamoja na Doctor natumaini wote ni afya njema. Doctor ninatatizo la kuwasha mwili kila baada ya kuoga muwasho huo huchukua robo saa hadi nusu saa hivi. Nimejaribu kubadili sabuni na kuacha kutumia sabuni na kubadili kutumia maji ya baridi au ya moto lakini bado hili tatizo linaendelea. Je hili tatizo linasababishwa na nini dokta na wanajamii forum wote? Naomba nisaidieni jamani kama kunatiba naomba nielekezwe.