pole sana kwa tatizo hilo, nakumbuka na mimi miaka ya nyuma sana wakati nikiwa ''0'' & "A" nilikuwa na tatizo kama la kwako yaani ukifika muda wa kuoga unajiuliza mara mia mia leo ntawashwa tena au laaaa, Lakini na mshukuru Mungu from no where lile tatizo langu la muda mrefu likapotea tu bila ya kutumia dawa yoyote. Sijui wewe imekuanza lini hiyo hali, Jaribu kwenda kwa wataalumu wa magonjwa wa ngozi wanaweza kukusiidia, kama uko dar fika jengo la Feberck manzese darajani ghorafa ya kwanza au ya pili kwa Dr Lija anaweza kukusaidia, Japo mimi kama nilivyosema sikutumia dawa tatizo liliisha lenyewe tu. Pole sana