Kuwasha ngozi baada ya kuoga

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
124
Reaction score
78
Wakuu habari za kazi
Nina tatizo la kuwasha ngozi baada kuoga hali inayofanya nijikune Kwa muda wa takribani dk10 hivi ndo mwili una Kaa sawa.

Naomba mnishauri kuondokana na hali hii. Kuoga kwangu ni mateso yaani.
 
Mimi hili tatizo nnalipataga ikiwa nimetoka kufanya mazoezi afu nkaenda kuoga hapo ntawashwa mpaka bhas...ila km nkitoka jasho afu nkakaa km nusu saa hv mwili ukapoa kabisa nkienda kuoga mwili hauwashi kabisa

Jaribu kujichunguza huwa ni katika mazingira gan mwili unakuwasha?
 
Kaka una kati ya haya
1.minyoo: nenda dukan kanunue dawa
2.unadamu nyingi.nenda kwa daktari
3.maji unayotumia yana backteria.penda kuweka Vizio 2 za dettol ya maji kwenye maji yako Kisha unachanganya unaacha nusu saa imeisha.pia deki babu laki na maji yenye dettol .
Asante
 
Asante
 
Duuh
 
Mimi kichwa bhana, ikipita siku moja sijakiosha na kupaka mafuta ebu mtu aniambie shida itakuwa nini?
Una mmba sugu nenda hospital wakupe dawa ya kupaka na vidonge
 
Wakuu habari za kazi
Nina tatizo la kuwasha ngozi baada kuoga hali inayofanya nijikune Kwa muda wa takribani dk10 hivi ndo mwili una Kaa sawa.

Naomba mnishauri kuondokana na hali hii. Kuoga kwangu ni mateso yaani.
Pole Mkuu hii ni allergy na sababu yake haijulikani maana na Mimi Huwa inanikumba nilijaribu kufuatilia nikakuta kumbe nintatizo.lwa.watu wengi tuu na Halima majibu.

Ila jitahidi ukipata jasho usikae mda mrefu bila kuoga na pia baada ya kuoga unacover mwili fasta
 
Unless tatizo lake ni la hivi punde ila kama ni mda mrefu hapana,nimeishi maeneo mbalimbali ya Tanzania ila shida Iko pale pale Sasa haiwezekani Kila sehemu maji Yana bacteria.

Ila hili la Damu nyingi ngoja nitaliganyia kazi.
 
Hili tatizo lipo sana. Mimi nilikuwa mhanga mkubwa wa hili tatizo. Kwa upande wangu niligundua ni wakati naoga situmii maji ya kutosha. Ndoo ndogo ilikuwa inanitosha. Lakini tangu nianze kutumia maji mengi tatizo limekwisha. Na pia nazingatia sana dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu.
 
Wakuu habari za kazi
Nina tatizo la kuwasha ngozi baada kuoga hali inayofanya nijikune Kwa muda wa takribani dk10 hivi ndo mwili una Kaa sawa.

Naomba mnishauri kuondokana na hali hii. Kuoga kwangu ni mateso yaani.
Ulichanja chanjonya korona?
 
Pole.

1. Usioge maji moto sana, wala baridi sana pendelea vuguvugu.

2. Ukioga usijiexpose eneo lenye baridi/feni/AC kabla hujakausha mwili, kausha mwili fasta, paka mafuta mazito na cover mwili kwa nguo.

3. Usitumie taulo bichi, lenye unyevu, kama ni mwanamke jitahidi kutumia kanga/vimitandio vyepesi ambavyo ukijikausha tu ukianika kinakauka kwa matumizi ya baadae, na usitumie kikaushio muda mrefu bila kukifua.

4. Achana na sabuni kali na zenye harufu, zinasababisha condition iwe worse.

Kwa msaada zaidi soma google skin condition inayoitwa “Eczema ” dalili zake zinaenda na hii skin condition ambayo kama alivyosema mtu mmoja huko juu bado wataalamu hawajaweza kujua kisababishi chake kwa uhakika.
 
Mimi kichwa bhana, ikipita siku moja sijakiosha na kupaka mafuta ebu mtu aniambie shida itakuwa nini?
Wewe una MBA, uwe unatumia shampoo kuosha kichwa usitumie sabuni za kawaida
 
Wakuu habari za kazi
Nina tatizo la kuwasha ngozi baada kuoga hali inayofanya nijikune Kwa muda wa takribani dk10 hivi ndo mwili una Kaa sawa.

Naomba mnishauri kuondokana na hali hii. Kuoga kwangu ni mateso yaani.
Ilo tatizo huwa linanitokea kwa msimu yaani nikitoka kuoga tu mwili una chomachoma hiyo hali inadumu kwa dakika kama 10 kisha inatulia mpaka nioge tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…