Napenda kujua na kuwasilisha mada juu ya "mtu kuwashwa mda mfupi tu baada ya kuoga",hii ni nini hasa, watu gani huwapata, nini husababisha na tiba yake nini.
kama huwa unajifuta angalia vizuri taulo unalotumia kama linafuliwa mara kwa mara na kama hua linasuuzwa vizuri kuhakikisha kuwa halina sabuni mara baada ya kufuliwa. maana likibaki na sabuni halafu ukajifuta nalo lazima uwashwe tu.