Kuwashwa baada ya kushika maji ya mvua

Kuwashwa baada ya kushika maji ya mvua

kaangwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2011
Posts
644
Reaction score
193
Habari zenu wakuu,na poleni na majukumu ya wiki nzima.
Naombeni msaada,jamaa yangu anawashwa sana anapooga au hata kufulia maji ya mvua.
mwili unatoa vijiupele utadhani kawashwa na kiwavi,hii inasababibishwa na nini?
Hajaenda hospital bado,naomba anayejua sababu tafadhali nisaidieni
Asanteni sana.
 
Mwambie akapime kama ana mzio/aleji yeyote na akikutwa na aleji niambie dawa ninayo ila kapime kwanza.
 
Back
Top Bottom