Kuwashwa damu ikichemka

thebracky

Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
44
Reaction score
5
oi wana hv kuwashwa baada ya mazoez pind damu imechemka n nn na mnanisaidiaje
 
I have the same problem kama sijafanya mazoezi muda mrefu siku nikianza kufanya nawasha sana kwenye Mapaja yaani hadi upite muda mrefu mazoezi yachanganye ndo kuwasha kunaisha
 
una histamine nyingi sana.hivyo inakuletea allegy ya jasho,kama tatizo ni kubwa sana uwe unapiga kidonge kimoja cha cetrizine kabla ya mazoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…