kuwashwa ikulu..

kuwashwa ikulu..

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,105
jamani ee ikulu panawasha mpaka aibu nimenyoa mavumbi ya kokoto jana mpaka najuta kuyanyoa kwa muwasho. Naombeni msaada
 
nenda katafute dawa clotriazole upake muwasho utapungua.
 
Hivi mkionaga zile mashine za kunyolea ndevu zinauzwa madukani na super Market huwa unadhani kazi yake ni nini? na je hata hizi dawa after shave bado huji hata tafsiri yake kwa Kiswahili ni nini? endelea kuwashwa ili next time ndio utakuwa na akili.
 
Acha hasira msaidie jamaa hali si shwari.
 
Back
Top Bottom